Lugha Nyingine
Maonyesho ya Usafiri wa Anga ya Asia Mwaka 2023 yaanza katika Mji wa Zhuhai, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2023
ZHUHAI - Maonyesho ya Usafiri wa Anga ya Asia Mwaka 2023, yaliyoandaliwa na Shirika la Maonyesho ya Usafiri wa Anga la Zhuhai na Kampuni ya AERO Friedrichshafen ya Ujerumani, yameanza katika Kituo cha Kimataifa cha Maonyesho ya Anga cha Zhuhai, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China siku ya Alhamisi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma