Lugha Nyingine
Maonyesho ya 2 ya Kimataifa ya Biashara ya Kidigitali yaanza mjini Hangzhou, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2023
HANGZHOU - Maonyesho ya Pili ya Kimataifa ya Biashara ya Kidijitali yenye kaulimbiu isemayo "Biashara ya Kidijitali, Ufikiaji Duniani" yameanza siku ya Alhamisi asubuhi mjini Hangzhou katika Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China yakiangazia ushirikiano wa kimataifa wa biashara ya kidijitali huku yakivutia mashirika ya kimataifa na mashirikisho ya biashara 60 pamoja na kampuni zaidi ya 800.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma