Lugha Nyingine
Mji wa Qingdao Mashariki mwa China yasukuma mbele maendeleo ya utalii wa meli (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 23, 2023
Picha hii ya angani iliyopigwa Novemba 21, 2023 ikionyesha kituo cha usafirishaji wa abiria cha Gati la Meli za Utalii la Qingdao mjini Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Xinhua/Li Ziheng) |
Mji wa Qingdao ulioko Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China umekuwa ukiendeleza kwa nguvu kubwa huduma za utalii wa meli. Kadiri safari za baharini zinavyozidi kuongezeka huku kukiwa na kuongezeka kwa idadi ya watalii wanaoingia kutoka nje, pia huchangia maendeleo endelevu ya sekta husika katika mji huo. Hadi sasa, Qingdao imeunganishwa na njia 40 za meli za utalii za kimataifa zikiwa zinapita miji karibu 20 ya bandari.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma