Lugha Nyingine
Siku ya watoto duniani yaadhimishwa kwa maonyesho ya?taa?kote China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 21, 2023
Miji katika mikoa na maeneo mbalimbali ya China iliwasha taa kwenye majengo na miundombinu alama nchini kote siku ya Jumatatu Novemba 20, 2023 kwa ajili ya kuadhimisha siku ya watoto duniani ambayo huadhimishwa duniani kote inapofika Novemba 20 ya kila mwaka.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma