Lugha Nyingine
Kampuni ya LEGO yatoa seti mpya za michezo iliyotengenezwa kwa kufuata utamaduni wa China kwenye maonyesho ya CIIE (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 09, 2023
Kampuni kubwa ya kutengeneza midoli ya kuchezea watoto, LEGO imekuwa ikishiriki katika Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) kwa miaka sita mfululizo. Kampuni hiyo ya Denmark imetoa seti nne mpya za michezo siku ya Jumatatu kwenye maonyesho hayo. Imekuwa ikitoa bidhaa za michezo ya kuchezea watoto duniani katika kila maonyesho hayo ya kila mwaka, nyingi zikiwa zimetengenezwa kwa kufuata utamaduni wa China.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma