Lugha Nyingine
Nchi wageni wa heshima zavutia watembeleaji wa Maonyesho ya 6 ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2023
Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yalianzia Novemba 5 na yataendelea hadi Novemba 10, huku mabanda ya nchi wageni wa heshima wa maonyesho hayo ambazo ni Honduras, Serbia, Vietnam, Afrika Kusini na Kazakhstan yakivutia watembeleaji wengi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma