Lugha Nyingine
Kazi ya maandalizi ya Maonyesho ya 6 ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yaingia hatua ya mwisho (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 03, 2023
Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamepangwa kufanyika mjini Shanghai, China kuanzia Novemba 5 hadi 10. Kazi ya maandalizi katika Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonyesho cha Shanghai imeingia hatua ya mwisho.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma