Lugha Nyingine
Kutalii?Hifadhi ya Taifa ya Nairobi nchini Kenya kupitia lenzi ya kamera (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 23, 2023
Picha hii iliyopigwa Oktoba 15, 2023, ikiwaonyesha ndege bukini wa Misri wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Nairobi iliyoko Mjini Nairobi, Kenya. (Xinhua/Li Yahui) |
NAIROBI – Hifadhi ya Taifa ya Nairobi, iliyoko umbali wa takriban kilomita 7 kutoka katikati mwa Nairobi, Mji Mkuu wa Kenya, ni makazi ya wanyamapori mbalimbali. Hifadhi hii iliyoanzishwa Mwaka 1946, ina spishi karibu 100 za wanyama mamalia na spishi zaidi ya 500 za ndege.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Habari Picha: Watu wakitembelea Mlima Huashan katika Mkoa Shaanxi, Kaskazini Magharibi mwa China
Mandhari ya Ziwa Kanas katika Eneo la Altay, Mkoa wa Xinjiang, China wakati wa majira ya mpukutiko
Katika Picha: Mandhari ya magenge kwenye Mto Manjano huko Henan, China
Bahari ya Maua ya Mlima Jing katika Mji wa Hangzhou wa Zhejiang, China yakaribisha watalii
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma