Lugha Nyingine
Maonyesho ya utamaduni wa China yafanyika Kigali, Rwanda (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2023
Mwanaume (kulia) akijaribu kuandika maandishi ya kaligrafia ya Lugha ya Kichina kwenye maonyesho ya utamaduni wa China yaliyofanyika Kigali, Rwanda, Septemba 23, 2023. (Picha na Huang Wanqing/Xinhua) |
Mamia ya Wanyarwanda na Wachina wanaoishi Rwanda alasiri ya Jumamosi, Septemba 23, 2023 walihudhuria maonyesho ya utamaduni wa China yaliyojaa shughuli nyingi huko Kigali, Mji Mkuu wa Rwanda.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma