Lugha Nyingine
Picha: maonesho ya huduma za afya kwenye Maonyesho ya Sita ya China na Nchi za Kiarabu huko Yinchuan, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 25, 2023
Katika miaka ya hivi karibuni, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, Kaskazini-Magharibi mwa China umezidisha mabadilishano na ushirikiano wa wahudumu wa afya na wasomi na nchi za Kiarabu. Pande hizo mbili zimefanya jitihada za kujenga jukwaa la mtandaoni la huduma za afya, na kuleta ushirikiano wao katika sekta ya afya katika ngazi ya juu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma