Lugha Nyingine
Maonyesho ya 30 ya Teknolojia za Hali ya Juu za Kilimo ya Yangling, China yafunguliwa
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 20, 2023
Chini ya kaulimbiu ya "afya ya udongo na usalama wa chakula," Maonyesho ya 30 ya Teknolojia za Hali ya Juu za Kilimo ya Yangling China yatakayofanyika kwa siku tano yameanza siku ya Jumanne.
Maonyesho hayo, ambayo yanahudhuriwa na washiriki zaidi ya 1,500 kutoka jumla ya nchi na maeneo 39, yanahusisha mafanikio ya ubunifu katika teknolojia ya hali ya juu ya kilimo, shughuli za mabadilishano, na kufanya mikutano na makongamano 11 pamoja na maonyesho manane, na kadhalika.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma