Lugha Nyingine
Maonyesho ya 20 ya China-ASEAN yafunguliwa Nanning, China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 18, 2023
Wasanii wa Indonesia wakitoa burudani kwenye Maonyesho ya 20 ya China na Umoja wa Nchi za Asia Kusini Mashariki (ASEAN) kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonyesho cha Nanning huko Nanning, Mji Mkuu wa Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China, Septemba 17, 2023. (Xinhua/Zhou Hua) |
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma