久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Katika?picha: Eneo la urithi wa dunia la UNESCO, michoro kwenye?miamba mkoani?Guangxi, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 10, 2023
Katika?picha: Eneo la urithi wa dunia la UNESCO, michoro kwenye?miamba mkoani?Guangxi, China
Picha hii ya mchanganyiko inaonesha mtu akipanda kwenye mwamba (Kushoto, picha ya zamani) na mchoro wa miamba ya Huashan inayoonyesha watu wakipanda kwenye mwamba (picha imepigwa na Fei Maohua wa Xinhuan Agosti 8, 2023) katika wilaya ya Ningming, mji wa Chongzuo, Mkoani Guangxi, China.

Michoro ya rangi hudhurungi, ilichorwa tangu wakati wa Madola ya Kivita (475-221 KK) hadi wakati wa enzi ya Han Mashariki (25-220), inaonyesha matambiko ya watu wa Luoyue, mababu wa kabila la wazhuang.

Inasemekana kuwa picha kuu za michoro hiyo ni watu wenye umbo la chura – alama ya kabila la wazhuang. Baadhi ya michoro hiyo pia inaonyesha matukio ya michezo.

Hadi sasa bado ni kitendawili kujua ni jinsi gani watu wa Luoyue waliweza kupaka rangi kwenye miamba hiyo. Kundi la michoro ya miamba liliwekwa kwenye orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO mwaka 2016. (Xinhua/Zhang Ailin)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>