Lugha Nyingine
Panda "Ruyi" na "Dingding" washerehekea siku ya kuzaliwa huko Moscow (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 31, 2023
Panda “Ruyi” akifurahia kula "keki ya siku ya kuzaliwa" kwenye Bustani ya Wanyama ya Moscow, Russia, tarehe 30, Julai. |
Tarehe 30, Julai, Bustani ya Wanyama ya Moscow ilisherehekea siku ya kuzaliwa ya panda "Ruyi" na "Dingding" waliotoka China. Panda wa kiume "Ruyi" alizaliwa Julai 31, 2016 katika kituo cha msingi cha Bifengxia huko Ya'an, mkoa wa Sichuan, Kusini Magharibi mwa China, na panda wa kike "Dingding" alizaliwa Julai 30, 2017 katika kituo cha Shenshuping cha Wolong mkoani Sichuan, Kusini Magharibi mwa China. Waliwasili Moscow Aprili 29, 2019 na kuanza maisha ya ugenini ya miaka 15. (Picha na Cao Yang/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma