久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kuendeleza?mtaji wa rasilimali watu?ni muhimu katika kufikia ukuaji jumuishi wa?uchumi barani Afrika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 27, 2023

DAR ES SALAAM - Wakuu wa nchi za Afrika siku ya Jumatano wamesema kuendeleza mtaji wa rasilimali watu ni muhimu katika kufikia ukuaji wa uchumi ulio endelevu, wenye unyumbufu na jumuishi barani Afrika.

Katika taarifa iliyosomwa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan mwishoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Rasilimali Watu uliofanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam, Tanzania, viongozi hao wamesema kuwa uwekezaji kwa watu kupitia elimu bora, lishe bora ya afya, kutoa nafasi za ajira na kuendeleza ustadi ni muhimu katika kuboresha matokeo yenye manufaa ya kijamii na kiuchumi.

Taarifa hiyo imetambua kuwa maendeleo ya rasilimali watu barani Afrika yanahitaji ufadhili ulioratibiwa sana na juhudi za kuimarisha kiasi, ufanisi na faida za uwekezaji kwa watu.

Azimio hilo ambalo limepewa jina la Azimio la Dar es Salaam, limeahidi kuweka kipaumbele katika elimu na uendelezaji ustadi, kuimarisha afya na ustawi, kuwawezesha wanawake na wasichana, kuimarisha utafiti na uvumbuzi, kuhimiza ongezeko la ajira na fursa za kiuchumi, kuhakikisha ulinzi na jumuishi wa kisiasa, na kuhamasisha rasilimali na ushirikiano.

Azimio hilo limetolewa mwishoni mwa siku mbili za majadiliano kuhusu changamoto na matarajio ya mtaji wa rasilimali watu barani Afrika. Ni dhamira na ahadi inayoonyesha nia ya kufanya kazi kibinafsi na kwa pamoja kutatua changamoto ambazo viongozi wameziainisha katika eneo la maendeleo ya rasilimali watu.

Mkutano huo wenye kaulimbiu ya "Kuharakisha Ukuaji wa Uchumi wa Afrika: Kuongeza Tija kwa Vijana kwa Kuboresha mafunzo na ustadi" umehudhuriwa na wajumbe zaidi ya 2,000 kutoka nchi 44 za Afrika, wakiwemo wakuu wanane wa nchi na serikali, makamu wa rais, mawaziri wakuu na mawaziri.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>