久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Wanunuzi 33,000 wakadiriwa kuvutiwa na Maonyesho ya Bidhaa ya China Mashariki huko Shanghai

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 13, 2023

Watu wakitembelea banda la kampuni ya midori kwenye Maonyesho ya China Mashariki huko Shanghai, Mashariki mwa China, Julai 12, 2023. (Xinhua/Fang Zhe)

Watu wakitembelea banda la kampuni ya midori kwenye Maonyesho ya China Mashariki huko Shanghai, Mashariki mwa China, Julai 12, 2023. (Xinhua/Fang Zhe)

SHANGHAI - Maonyesho ya Bidhaa ya China Mashariki, ambayo ni maonyesho makubwa zaidi ya biashara ya kikanda nchini China, yamefunguliwa katika Mji wa Shanghai siku ya Jumatano.

Maonyesho hayo ya siku nne yanakadiriwa kuvutia wanunuzi 33,000 kutoka ndani na nje ya China, na kuongeza kasi zaidi ya ukuaji katika sekta ya biashara ya nje ya China Mashariki.

Maonesho hayo yameweka mabanda 5,234 kwenye eneo lenye ukubwa wa jumla mita za mraba 105,200, yamepangwa katika kategoria sita: nguo, mavazi, zawadi, vifaa na vyombo vya nyumbani, bidhaa za ng'ambo na biashara ya mtandaoni ya kuvuka mipaka.

“Maonyesho hayo yatasaidia kampuni za biashara ya nje mashariki mwa China kutafuta na kuchunguza soko la kimataifa, na kuwasaidia waonyeshaji bidhaa wa China na wa nje kukutana na wafanyabiashara wa nje ,” amesema Zhang Xiong, Naibu Katibu Mkuu wa serikali ya manispaa ya Shanghai.

Biashara ya nje ya China inaonyesha uhimilivu mkubwa, ikiongezeka kwa asilimia 4.7 na kufikia yuan trilioni 16.77 (kama dola trilioni 2.34 za Kimarekani) katika miezi mitano ya kwanza ya Mwaka 2023, takwimu za forodha zinaonyesha.

Ofisa wa wizara hiyo, Xiao Lu amesema, katika juhudi za kuleta utulivu wa biashara na kuboresha muundo wake, Wizara ya Biashara ya China itatumia vyema maonyesho hayo makubwa ya biashara, kusaidia kampuni za biashara kushiriki kwenye maonyesho ya nje ya nchi, kuimarisha maendeleo ya biashara ya utengenezaji wa bidhaa ya China, na kuhimiza kasi ya maendeleo ya biashara mpya na nje.

Maonyesho hayo yanachukuliwa kuwa kipimo muhimu cha biashara ya nje ya China, na yanaandaliwa na kufanywa kwa pamoja na mikoa na miji tisa ya Mashariki mwa China, ikiwa ni pamoja na Shanghai, mikoa ya Jiangsu, Zhejiang na Shandong.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>