久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Waziri Mkuu wa China aongoza kongamano kuhusu uchumi wa jukwaa la mtandaoni

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 13, 2023
Waziri Mkuu wa China aongoza kongamano kuhusu uchumi wa jukwaa la mtandaoni
Waziri Mkuu wa China Li Qiang, akiongoza kongamano la wawakilishi wa kampuni kubwa za jukwaa la mtandaoni za China, akisikiliza maoni na mapendekezo yao kuhusu kuhimiza maendeleo ya uchumi wa jukwaa la mtandaoni yaliyodhibitiwa vyema na kuendelezwa vizuri na kwa endelevu, mjini Beijing, China, Julai 12, 2023. Naibu Waziri Mkuu wa China Ding Xuexiang alihudhuria kongamano hilo. (Xinhua/Rao Aimin)

BEIJING - Waziri Mkuu wa China Li Qiang, ameongoza kongamano la wawakilishi wa kampuni kubwa za jukwaa la mtandaoni za China siku ya Jumatano, akisikiliza maoni na mapendekezo yao kuhusu kuhimiza maendeleo ya uchumi wa jukwaa la mtandaoni ambayo yamedhibitiwa vyema, na kuendelezwa vizuri na kwa endelevu, mjini Beijing, China.

"Uchumi wa jukwaa la mtandaoni umeongeza mahitaji, umekuwa injini ya uvumbuzi na maendeleo, umeunda njia mpya za ajira na ujasiriamali, na kutoa uungaji mkono kwa huduma za umma," Waziri Mkuu Li amesema baada ya kusikia maoni kutoka kwa kampuni hizo, ikiwa ni pamoja na jukwaa la mtandaoni la mahitaji ya rejareja na uwasilishaji bidhaa kwa wateja la Meituan, jukwaa la mitandao ya kijamii, Xiaohongshu, na jukwaa la video fupi la Douyin.

Amesema, uchumi wa jukwaa la mtandaoni umechukua nafasi kubwa zaidi katika maendeleo ya jumla ya China. Ameongeza kuwa uchumi huo utakuwa na jukumu muhimu zaidi wakati nchi ya China inapoanza safari mpya ya kujijenga kuwa nchi ya kijamaa yenye maendeleo ya kisasa.

Waziri Mkuu Li amehimiza kampuni hizo za jukwaa la mtandaoni kuwa na ujasiri na kutupia macho siku za mbele ili kuongoza katika maendeleo, kutoa nafasi mpya za ajira na kuwa na uwezo wa ushindani wa kimataifa.

Amesisitiza kuwa serikali katika ngazi zote zinapaswa kujitahidi kuweka mazingira ya soko yenye haki kwa ajili ya ushindani na kuboresha sera za upatikanaji wa uwekezaji na tathmini za usalama kwa teknolojia mpya na shughuli mpya.

"Serikali zinapaswa pia kuboresha utaratibu wa udhibiti ulio wazi na kutabirika ili kupunguza gharama za biashara za kampuni hizo kwa kufuata taratibu na kuhimiza maendeleo mazuri ya tasnia," ameongeza Waziri Mkuu Li.

Amesisitiza haja ya kufanyika juhudi za kuanzisha na kuboresha utaratibu wa mawasiliano ya mara kwa mara na kampuni za jukwaa la mtandaoni, kuelewa mara moja matatizo na mahitaji yao, na kuboresha sera na hatua husika ili kuhimiza uchumi wa jukwaa la mtandaoni kuendelezwa vizuri kwa kufuata utaratibu na endelevu.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>