久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Njia ya kimataifa ya treni ya mizigo yazinduliwa kutoka Mkoa wa Gansu, China hadi Afghanistan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 07, 2023

Treni ya mizigo inayoelekea Hairatan, Afghanistan ikiondoka kwenye kituo cha usafirishaji cha Dongchuan huko Lanzhou, Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China, Julai 5, 2023. (Xinhua/Zhang Zhimin)

Treni ya mizigo inayoelekea Hairatan, Afghanistan ikiondoka kwenye kituo cha usafirishaji cha Dongchuan huko Lanzhou, Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China, Julai 5, 2023. (Xinhua/Zhang Zhimin)

LANZHOU - Treni ya mizigo imeondoka Lanzhou, Mji Mkuu wa Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China siku ya Jumatano, na kuelekea Hairatan nchini Afghanistan, kuashiria kuzinduliwa kwa njia mpya ya mizigo.

Treni hiyo ya mizigo imesheheni makontena 39 ya bidhaa, zenye thamani ya dola za Marekani milioni 1.5, ambazo ni pamoja na vipuri vya magari, samani, vifaa vya ofisini na mitambo.

Ikianza safari yake kutoka kituo cha usafirishaji bidhaa cha Dongchuan huko Lanzhou, treni hiyo ilianza kwa kuelekea Kashgar katika Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang nchini China. Mara baada ya kufika Kashgar, bidhaa zitahamishiwa kwenye malori hadi Kyrgyzstan. Kutoka hapo, bidhaa hizi zitasafirishwa kwa reli tena kabla ya kuwasili Hairatan, Afghanistan.

Kufunguliwa kwa mafanikio kwa njia hii ya treni za mizigo kutaimarisha zaidi ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara na mawasiliano kati ya China, Kyrgyzstan, Uzbekistan, Afghanistan na nchi nyingine za Ukanda Mmoja, Njia Moja, kwa mujibu wa moja ya kampuni zinazoendesha huduma ya usafiri.

Lanzhou ni kitovu cha usafirishaji bidhaa Kaskazini Magharibi mwa China. Kwa sasa, imefungua huduma za treni za kimataifa zinazofikia zaidi ya miji 30 katika zaidi ya nchi 20.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>