Lugha Nyingine
Panda "Ganggang" aishi kwa kupuliziwa ubaridi na kiyoyozi ili kupoza joto kali la majira ya joto
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2023
Panda "Ganggang" akitembeatembea kwenye nyumba ya panda katika Bustani ya Wanyama ya Anshan, Mkoani Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China, Tarehe 26, Juni. |
Siku hizi, hali ya hewa ya Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China inaendelea kuwa ya joto sana. Chini ya uangalizi wa wafugaji, panda "Ganggang" mwenye umri wa miaka mitano anayekaa katika Bustani ya Wanyama ya Anshan, mkoani humo anapoza hali joto kali kwa kutumia kiyoyozi huku akifurahia kula mianzi, matunda, karoti, asali n.k ili kujiweka katika mazingira ya baridi katika majira hayo ya joto kali. (Picha na Yao Jianfeng/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma