Lugha Nyingine
Jukwaa la Davos la Majira ya Joto kuanza katika Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2023
TIANJIN - Mkutano wa 14 wa Mwaka wa Vinara Wapya wa Baraza la Davos la Majira ya Joto, utafanyika katika Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China kuanzia Juni 27 hadi 29.
Kaulimbiu ya mkutano huo wa mwaka huu ni "Ujasiriamali: Nguvu ya Uendeshaji wa Uchumi wa Kimataifa."
Takriban viongozi 1,500 wa sekta za kiumma na za kibinafsi kutoka zaidi ya nchi 90 watakutana pamoja kwa ajili ya mkutano huo utakaofanyika kwa siku tatu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma