久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mji wa Qufu katika Mkoa wa Shandong, China mahali alipozaliwa Confucius, mwanafalsafa wa kale wa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 21, 2023
Mji wa Qufu katika Mkoa wa Shandong, China mahali alipozaliwa Confucius, mwanafalsafa wa kale wa China
Picha hii ya kumbukumbu ikionyesha hafla ya kufungwa kwa Tamasha la Kimataifa la Utamaduni la Confucius la 2022 la China (Qufu) katika Mji wa Qufu, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Picha na Yang Guoqing/Xinhua)

Mji wa Qufu, ulioko Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, ndipo alipozaliwa Confucius, mwanafalsafa wa kale wa China.

Kaburi la Confucius, Hekalu la Confucius na jumba la kifahari la ukoo wa Kong huko Qufu ni miongoni mwa maeneo maalum ya watu kuwakumbuka wanafalsafa wa kale wa China na maeneo muhimu kwa ajili ya ziara ya elimu na utafiti kuhusu utamaduni mzuri wa jadi wa China.

Zaidi ya hayo, Taasisi ya Utafiti wa Confucius ya China, Ardhi takatifu ya Nishan na Jumba la Makumbusho la Confucius huko Qufu, pia yanakuza utafiti na urithi wa Fikra za wasomi wa Confucius.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>