久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Bandari za Shanghai zarekodi?ukuaji wa asilimia 17 katika uagizaji wa bidhaa za Matumizi katika Mwezi Januari-Mei

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 14, 2023

Picha iliyopigwa Novemba 12, 2020 ikionyesha mandhari ya usiku ya eneo la Lujiazui la Pudong, Shanghai, Mashariki mwa China. (Xinhua/Wang Xiang)

Picha iliyopigwa Novemba 12, 2020 ikionyesha mandhari ya usiku ya eneo la Lujiazui la Pudong, Shanghai, Mashariki mwa China. (Xinhua/Wang Xiang)

SHANGHAI - Uagizaji wa bidhaa za matumizi kwenye bandari za Mji wa Shanghai, Mashariki mwa China ulifikia yuan bilioni 326.1 (sawa na dola bilioni 45.6 za Kimarekani) katika miezi mitano ya kwanza mwaka huu, ikiwa ni ongezeko la asilimia 17 kuliko mwaka jana wakati kama huo, Idara ya Forodha ya Shanghai imesema siku ya Jumanne.

Idara hiyo imesema huduma zake zimeimarika kufikia kiwango cha kipindi kama hicho Mwaka 2021, ikichukua zaidi ya asilimia 40 ya jumla ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nje ya nchi, jambo ambalo kwa kiasi fulani linaonyesha kufufuka kwa manunuzi ya bidhaa za matumizi kwenye soko la ndani la China.

Kati ya bidhaa hizo, thamani ya uagizaji wa samaki na matunda yaliyokaushwa na freshi ilifikia yuan bilioni 10.95 na yuan bilioni 10.05, ikiwa ni ongezeko la asilimia 41.9 na asilimia 28.7 mwaka hadi mwaka, mtawalia.

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Shanghai Pudong, ambao ni uwanja mkubwa zaidi wa ndege wa mizigo nchini China, ulishughulikia bidhaa za samaki zenye uzito wa tani 22,000 zilizoagizwa kutoka nje kutoka Januari hadi Mei, ikiwa ni ongezeko la mara 1.2 kuliko mwaka jana wakati kama huo. Bidhaa hizo ziliagizwa kutoka nchi zikiwemo Ufaransa, New Zealand, India, Pakistan na Thailand.

Tangu Ushirikiano Kamili wa Kiuchumi wa Kikanda ulipoanza, ongezeko la idadi ya bidhaa za kilimo, kama vile matunda kutoka Jumuiya ya Nchi za Asia Kusini-Mashariki (ASEAN), zimepata kuingia katika soko la China. Katika miezi mitano ya kwanza ya Mwaka 2023, Bandari ya Waigaoqiao ya Shanghai ilishughulikia matunda yenye uzito wa tani 488,000 yaliyoagizwa kutoka nchi za ASEAN, yenye thamani ya yuan milioni 976.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>