久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Hoteli za kitalii za ubora wa juu kujengwa Xinjiang, China zikiwa na makubaliano yenye thamani ya zaidi ya yuan bilioni 12.6

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 14, 2023

BEIJING - Mkoa wa unaojiendesha wa Xinjiang nchini China umetangaza kujenga hoteli za kitalii zenye ubora wa hali ya juu ambazo thamani ya jumla ya makubaliano yaliyotiwa saini hadi sasa inafikia zaidi ya yuan bilioni 12.6.

Hayo yameelezwa Jumanne kwenye Mkutano wa Mwaka 2023 wa Maendeleo ya Utalii na Utangazaji wa Utalii wa "Xinjiang ni Mahali Pazuri" wa Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang wa China, ambapo Idara ya Utalii na Utamaduni ya Xinjiang, Idara za utamaduni na utalii za miji mingi ya Xinjiang, na maeneo ya vivutio vya mkoa huo yametia saini makubaliano ya ujenzi wa miradi ya ubora wa juu ya hoteli za kitalii. Jumla ya makubaliano 12 yenye nia ya ushirikiano yametiwa saini, yakiwa na thamani ya jumla ya yuan bilioni 12.629 hivi.

Kwa kutegemea mazingira bora ya kiikolojia na msingi imara wa kiviwanda wa Xinjiang, mradi huo wa maeneo ya hosteli za ubora wa juu na kituo kikubwa cha mapumziko ya kupiga kambi unapanga kuonesha utamaduni wa kiikolojia mkoani Xinjiang unaojumuisha "utalii wa kiikolojia + hosteli zenye ubora wa juu + likizo ya kupiga kambi + uzoefu wa ndani + elimu ya mazingira ya asili”.

Msimamizi husika wa Idara ya Utalii wa Utamaduni wa Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang amesema kwenye mkutano huo kuwa baada ya kukamilika kwa hoteli hizo za ubora wa juu, kutaongeza kwa kiasi kikubwa ushawishi, umaarufu na thamani ya chapa ya utalii wa kiutamaduni wa Xinjiang kwa ujumla, na kutoa msukumo mkubwa kwa maendeleo yenye ubora ya shughuli za utalii wa kitamaduni mkoani Xinjiang.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>