Lugha Nyingine
“Kuonyesha kiganja”?kwa mashine ili kupanda sabwe
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 22, 2023
Mei 21, abiria akionyesha kiganja chake ili kupita mlango wa Kituo cha sabwe cha Caoqiao kwenye njia ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing.(Picha na Wang Jingyi/Xinhua) |
Siku hiyo, huduma ya kuonyesha kiganja kwa mashine ili kupanda sabwe imetumiwa rasmi kwenye njia ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing. Baada ya abiria kujiandikisha na kupata huduma hiyo kwenye mashine mahusuhi, wanaweza kuonyesha viganja vyao ili kupanda sabwe kwenye njia hiyo.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Habari Picha: Mandhari ya maeneo yanayozunguka Mto Bahe katika Mji wa Xi'an, China
Katika Picha: Watu wakivuna matunda ya bluberi katika Kijiji cha Wengbao, Mkoa wa Guizhou wa China
Habari Picha: Ndege wakionekana Lhasa, huko Tibet, Kusini Magharibi mwa China
Katika Picha: Tazama mandhari ya Mji wa Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma