<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Xi Jinping aongoza Mkutano wa Kwanza wa Viongozi Wakuu wa China na Nchi za Asia ya Kati na kutoa Hotuba Kuu (7)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 20, 2023
    Xi Jinping aongoza Mkutano wa Kwanza wa Viongozi Wakuu wa China na Nchi za Asia ya Kati na kutoa Hotuba Kuu
    Rais Xi Jinping wa China ameongoza mkutano wa kwanza wa viongozi wakuu wa China na Nchi za Asia ya Kati huko Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini Magharibi mwa China na kutoa hotuba kuu yenye kichwa cha "Kuungana Mikono ili Kujenga Jumuiya ya China na Nchi za Asia ya Kati yenye Mustakabali wa Pamoja unaojumuisha Kusaidiana, Maendeleo ya Pamoja, Usalama wa Wote, na Urafiki kutoka Vizazi hadi Vizazi", Mei 19, 2023. Baada ya mkutano huo, Xi Jinping na viongozi wakuu wa nchi tano za Asia ya Kati walipanda kwa pamoja miti sita ya mikomamanga, ambayo siyo tu kwamba imeshuhudia milenia ya mazungumzo ya kirafiki kati ya China na Nchi za Asia ya Kati, lakini pia ni ishara ya mshikamano na ushirikiano wa karibu kati ya China na Nchi za Asia ya Kati, na inaweka matumaini kwenye mustakabali mzuri wa uhusiano wa China na Nchi za Asia ya Kati. (Liu Bin/ Xinhua)
    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>