Lugha Nyingine
Habari Picha: Aina mbalimbali za muziki duniani kote hukutana Xi'an kupitia mawasiliano ya kitamaduni (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 15, 2023
Wasanii wa China wakifanya maonesho ya mchezo wa Sanaa kwenye tamasha karibu na ukuta wa mji wa kale wa Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini-Magharibi wa China, Septemba 22, 2018. (Xinhua/Zhang Bowen) |
Ukiwa ulianzishwa miaka 3,100 iliyopita, Xi'an, ambayo leo ni Mji Mkuu wa Mkoa wa Shaanxi nchini China, ulikuwa mji mkuu katika enzi 13 za kifalme katika historia ya China. Pia ni mahali pa kuanzia Njia ya kale ya Hariri. Aina mbalimbali za muziki duniani kote kama vile rock na roll na Opera ya Qinqiang, aina ya opera ya kijadi ya China, hukutana hapa kupitia mawasiliano ya kitamaduni.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma