Lugha Nyingine
Bandari ya Tianjin ya China yapitisha makontena milioni 5.047 katika robo ya kwanza ya Mwaka 2023 (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 12, 2023
Makontena yakisafirishwa kwa malori kwenye Gati la Kimataifa la Makontena la Pasifiki la Bandari ya Tianjin, China, Aprili 11, 2023. (Xinhua/Zhao Zishuo) |
Bandari ya Tianjin, imeshughulikia takribani makontena milioni 5.047 yenye urefu unaolingana na futi ishirini kwa kila kontena (TEUs) katika miezi mitatu ya kwanza ya Mwaka 2023, ikiwa ni ongezeko la asilimia 9.09 kuliko mwaka jana.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma