Lugha Nyingine
Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yaanza huko Haikou, China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 11, 2023
Picha hii iliyopigwa Tarehe 10 Aprili 2023 ikionyesha mandhari ya Kituo cha Mikutano na Maonyesho cha Kimataifa cha Hainan, ambacho ni eneo la Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) huko Haikou, mkoani Hainan, China. (Xinhua/Pu Xiaoxu) |
Zaidi ya chapa 3,300 zenye ubora wa juu kutoka ndani na nje ya China zimekusanyika katika maonyesho hayo, yaliyoanza Jumatatu huko Haikou.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma