Lugha Nyingine
Mkoa wa Hainan wajiandaa vyema kwa maonyesho ya bidhaa za matumizi ya China yanayoanza leo
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 10, 2023
Picha hii iliyopigwa Tarehe 7 Aprili 2023 ikionyesha mwonekano wa Kituo cha Mikutano na Maonyesho cha Kimataifa cha Hainan, ambapo Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yameanza leo katika kituo hicho huko Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China. (Xinhua/Pu Xiaoxu)
HAIKOU - Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yamefanyika kuanzia leo Jumatatu Aprili 10 hadi 15 huko Haikou, Mji Mkuu wa mkoa wa kusini wa kitropiki wa Hainan. Maandalizi yote ya tukio hilo yamekamilika kwa sasa.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma