久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Ripoti ya WTO yaonesha?ukuaji wa biashara duniani kupungua hadi asilimia 1.7 Mwaka 2023

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 06, 2023
Ripoti ya WTO yaonesha?ukuaji wa biashara duniani kupungua hadi asilimia 1.7 Mwaka 2023
Ralph Ossa (katikati), Mtaalam Mkuu wa uchumi wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari wa WTO mjini Geneva, Uswisi, Aprili 5, 2023. Ukuaji wa biashara duniani Mwaka 2023 utapungua hadi asilimia 1.7, Shirika la Biashara Duniani (WTO) limesema katika ripoti yake ya mwaka ya takwimu za biashara na mtazamo, iliyochapishwa Jumatano. (Xinhua/Lian Yi)

GENEVA - Ukuaji wa biashara duniani Mwaka 2023 utapungua hadi asilimia 1.7, Shirika la Biashara Duniani. (WTO) limesema katika ripoti yake ya mwaka ya takwimu za biashara na mtazamo, iliyochapishwa Jumatano.

Kiasi cha biashara ya bidhaa duniani kimelemewa na athari za vita nchini Ukraine, mfumuko wa bei wa juu, sera ya fedha iliyobana na kutokuwa na uhakika wa soko la fedha, imesema ripoti hiyo.

Hata hivyo, makadirio hayo ya ukuaji wa biashara Mwaka 2023 yamepanda kuliko makadirio ya asilimia 1.0 yaliyotolewa mwezi Oktoba mwaka uliopita. Marekebisho ya China ya hatua zake za kukabiliana na UVIKO-19 ni "sababu kuu" katika ongezeko hili, ripoti hiyo imesema. Kufunguliwa tena kwa mipaka ya China kunatarajiwa kukuza biashara ya kimataifa, ripoti hiyo imesema.

Ikishushwa na mdororo mkubwa katika robo ya nne ya mwaka, kiwango cha biashara duniani kilikua kwa asilimia 2.7, ikiwa ni "ongezeko dogo kuliko ilivyotarajiwa".

Kwa mujibu wa wachumi wa WTO, Pato la Dunia katika viwango vya ubadilishaji vya soko litakua kwa asilimia 2.4 Mwaka 2023. Wakati huo huo, makadirio ya ukuaji wa biashara na Pato la Dunia Mwaka 2023 yako chini ya wastani ambao haujawahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka 12 iliyopita, ya asilimia 2.6 na asilimia 2.7 mtawalia.

"Athari za UVIKO-19 na kuongezeka kwa mivutano ya siasa za kijiografia ndiyo sababu kuu zilizoathiri biashara na pato Mwaka 2022, na hii inawezekana kuwa hivyo Mwaka 2023 pia," Ralph Ossa, Mtaalamu Mkuu wa uchumi wa WTO amesema.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, ukuaji wa biashara duniani unapaswa kuongezeka hadi asilimia 3.2 Mwaka 2024, huku ukuaji wa Pato la Dunia ukiongezeka hadi asilimia 2.6.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>