Ningbo yafanya shughuli mfululizo ili kuchangamsha maisha ya usiku ya wakazi na watalii
|
Picha hii iliyopigwa Februari 15, 2023 ikionyesha hali ya msongamano wa watu katika Mtaa wa Laowaitan, ambao ni mtaa maarufu wa watembea kwa miguu huko Ningbo, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. Halijoto inapoongezeka siku hadi siku, shughuli mfululizo kama vile gulio la usiku na "maua ya chuma", ambayo ni maonyesho ya kuchezesha kwa juu chuma kilichoyeyuka ili kuunda fashifashi, hufanyika katika Mtaa wa Laowaitan ili kupendezesha maisha ya usiku ya wakazi na watalii. (Xinhua/Jiang Han) |
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)