Lugha Nyingine
Mandhari ya Alfajiri Kwenye Daraja Kubwa (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 30, 2023
Picha iliyopigwa Tarehe 29, Januari ikionesha Daraja kubwa la Mto Longli huko Guizhou (picha na droni). |
Wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China, hali ya hewa ya Wilaya ya Longli ya Mkoa wa Guizhou ilikuwa nzuri sana, daraja la Mto Longli linaloendelea kujengwa likiangazwa na jua la alfajiri, hali ya ukuu wake inaonekana kuvutia sana. Daraja hilo liko katika Wilaya ya Longli ya Mkoa wa Guizhou, likiwa na urefu wa kilomita 1.26. Baada ya kumalizika kwa ujenzi wake, litaweza kutoa huduma nzuri zaidi kwa maendeleo ya shughuli za utalii za huko na usafiri wa watu wanaoishi kwenye maeneo ya milima.
(Picha na Yang Wenbin/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma