Lugha Nyingine
Katika Picha: Watu wakifurahia vyakula vya Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika maeneo mbalimbali ya China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 26, 2023
Watoto wakila peremende katika mtaa wenye historia ndefu mjini Xuyi, Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China, Januari 23, 2023. (Xinhua/Ji Chunpeng) |
Watu mbalimbali wanafurahia vyakula vya aina mbalimbali nchini China wakati wa likizo inayoendelea ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma