Lugha Nyingine
Shughuli mbalimbali za barafu na theluji zaongeza utalii wa majira ya baridi katika Mji wa Harbin, Kaskazini Magharibi mwa China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 16, 2023
Picha hii iliyopigwa Januari 14, 2023 ikionesha eneo la maonyesho ya taa za barafu huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Magharibi mwa China, Januari 14, 2023. (Xinhua/Xie Jianfei) |
Mji wa Harbin nchini China ni maarufu kwa rasilimali zake nyingi za barafu na theluji. Katika kipindi hiki cha majira ya baridi, mji huo umefungua bustani tatu zenye mandhari ya barafu na theluji, umetambulisha bidhaa 12 za uzoefu wa barafu na theluji na njia 10 za utalii kama hizo, na kuanzisha zaidi ya shughuli 100 zinazohusiana na kuhimiza maendeleo ya shughuli za utalii wa msimu wa baridi, utamaduni, mitindo na michezo. (Xinhua/Xie Jianfei)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma