Lugha Nyingine
Mbio za mashua ya dragoni kwenye barafu ya Ziwa Ulungur Fuhai, Xinjiang (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 09, 2023
Tarehe 8, Januari, mbio za mashua ya dragoni zilifanyika kwenye barafu ya Ziwa Ulungur katika Wilaya ya Fuhai ya Eneo la Altay la Mkoa wa Xinjiang nchini China. Katika barafu iliyofunikwa na theluji, wafanyakazi walisafisha njia za mbio za mviringo zenye urefu wa mita 400, na timu zilizoshiriki zilifukuzana kwenye barafu. (Mpiga picha:Liuxin/chinanews)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma