Lugha Nyingine
Sanamu kubwa ya Mtu wa Theluji yenye mita 18 Yawekwa kwenye kando ya Mto Songhua, Harbin (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 05, 2023
(Picha inatoka CFP.) |
Tarehe 4, Januari, kazi ya uchongaji wa sehemu kuu ya Sanamu kubwa ya Mtu wa Theluji imekamilika kwenye Barabara ya Magharibi ya Urafiki, Harbin, China. Baada ya kuboreshwa zaidi, inakadiriwa kuwa sanamu hiyo itakutana na wakazi wa mji huo kwa sura mpya jioni ya Januari 5. Sanamu hiyo iko kwenye kando ya Mto Songhua, ikiwa na urefu wa mita 18, ubana wa mita 10 na matumizi yake ya theluji ni mita za ujazo 2,000 hivi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma