久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Sehemu mbalimbali nchini China zahimiza kurejea tena kwa kazi na uzalishaji ili kuleta utulivu wa uchumi na kuhimiza maendeleo

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 23, 2022

Kufuatia kufanyika marekebisho na uboreshaji wa hatua za kuzuia na kudhibiti janga la Virusi vya Korona nchini China, kufikia Mwezi Desemba, maeneo yote yamejitahidi kuleta utulivu wa uchumi, kuhimiza maendeleo, na kurejesha utendaji kazini, uzalishaji na masoko, ili kuhakikisha kuwa mwaka huu unapata matunda mazuri" na mwaka ujao "unaanza vizuri."

Zhang Jiying, ambaye amekuwa katika biashara ya kuuza miamvuli huko Yiwu kwa zaidi ya miaka kumi, amewaambia waandishi wa habari kwamba mara tu aliposikia habari za uboreshaji wa hatua za kuzuia na kudhibiti janga, wateja wake wengi walikimbilia kununua tiketi za treni ya mwendokasi.

"Nilikuwa nikiangalia uzalishaji wa oda na sikuthubutu kuhifadhi bidhaa, lakini sasa nina ujasiri wa kufanya hivyo." Kwa sasa, Zhang Jiying anatumia mbinu mbalimbali kuwasiliana na wateja karibu 7,000 watarajiwa aliowakusanya kwa miaka mingi, na anawakaribisha tena kwenye soko la Yiwu.

Kuanzia Desemba 12 hadi 14, " Golio la Ununuzi Bidhaa" lilifanyika katika Eneo la No. 1 la Mji wa Biashara ya Kimataifa wa Yiwu. (Picha imetolewa na mhojiwa)

Kuanzia Desemba, Shirika la Taifa la Usafiri wa Reli na mtiririko wa abiria unaonyesha mwelekeo wa kuimarika kwa usafiri. Kuanzia Desemba 11 hadi 14, Ofisi ya Shirika la Reli ya Shanghai nchini China imeshuhudia zaidi ya abiria milioni 1 kwa siku, na mtiririko wa abiria umeanza kurejea kawaida. Takwimu kutoka Shirika la Ndege la China Eastern zinaoonyesha kuwa Tarehe 12 Desemba, shirika hilo lilisafirisha karibu abiria 140,000, ikiwa ni ongezeko la abiria la karibu 140% ikilinganishwa na mwanzo wa mwezi.

Tangu kutangazwa kwa hatua 20 za kuzuia na kudhibiti virusi vya Korona na Serikali ya China, wafanyabiashara na watu wengi wa China wamepata imani juu kushiriki kwao katika shughuli za utendaji na uzalishaji. Na hata masoko ya mitaji, viwanda vya uzalishaji na maduka makubwa ya kuuza bidhaa yanaanza kushuhudia kuongezeka kwa watu.

Mfano mzuri pia ni kuongezeka kwa uuzaji hisa za makampuni mbalimbali lakini pia kuongezeka kwa oda nyingi za wateja kutoka nchi na maeneo mbalimbali duniani. Pia kumekuwa na safari nyingi za wafanyabiashara na makampuni ya biashara ya nje ya China kwenda masoko ya ng’ambo kuwasiliana na wateja na kufufua shughuli zao za kiuchumi.

"Tangu robo ya nne ya mwaka, oda zimeongezeka sana. Kwa sasa, uzalishaji umepangwa hadi Aprili mwaka ujao." Zeng Lifu meneja mkuu wa kiwanda cha mapambo ya nyumbani cha Guangdong Huaxun ameliambia gazeti la People's Daily Online. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>