Lugha Nyingine
Biashara nchini Kenya yakua kwa utulivu kutokana na mapato ya utalii na mauzo ya nje
(CRI Online) Desemba 16, 2022
Wizara ya Fedha ya Kenya jana imesema, nakisi ya kibiashara nchini humo iliongezeka mwezi Septemba kutokana na kuongezeka kwa mauzo ya nje na mapato ya utalii.
Nakisi hiyo ilifikia dola za kimarekani bilioni 6.02, sawa na asilimia 5.4 ya pato la taifa mwezi Septemba, kutoka dola bilioni 5.73 au asilimia 5.2 ya kipindi kama hicho mwezi Septemba 2021.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma