久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Makampuni ya kimataifa yafurahia ahadi ya China ya kufungua mlango

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 31, 2022

Mfanyakazi akifanya kazi kwenye karakana ya Kampuni ya Flender China, iliyoko Tianjin, Kaskazini mwa China, Julai 29, 2022. (Xinhua/Yang Zichun)

BEIJING - Huku uchumi wa Dunia ukikabiliwa na changamoto nyingi ikiwa ni pamoja na kupanda kwa mfumuko wa bei na janga la UVIKO-19, ahadi ya China ya kuendeleza kufungua mlango itatumika kama njia ya msaada kwa wawekezaji wengi wa kigeni ambao wanaona fursa kubwa katika uchumi wa China kwa miaka mingi ijayo.

China imekuwa ikijitahidi kutoa fursa mpya kwa Dunia na maendeleo yake yenyewe na kuchangia sehemu yake katika ujenzi wa uchumi wazi wa kimataifa ambao unatoa mamufaa makubwa kwa watu wote.

Hatua thabiti, mtazamo wenye matumaini

Bruno Chevot, Mkuu wa Kampuni ya Danone China, Asia Kaskazini na Oceania, amesema "amefurahishwa sana" na dhamira thabiti ya China ya kufungua mlango huku akitarajia kuanzishwa kwa mipango zaidi ya kufungua mlango katika siku zijazo.

Danone, ambayo ni kampuni ya kimataifa ya chakula na vinywaji, imeshuhudia mauzo yake nchini China yakiongezeka maradufu katika muongo mmoja uliopita na kuifanya China kuwa soko lake la pili kwa ukubwa duniani.

Kampuni hiyo ni shahidi na mnufaika wa sera ya China ya kufungua mlango. China imechukua hatua kama vile kufupisha orodha hasi ya uwekezaji wa kigeni, kuweka baadhi ya maeneo ya majaribio ya biashara huria, na kutekeleza Sheria ya Uwekezaji wa Kigeni.

Kwa mujibu wa ripoti ya Mkutabno Mkuu wa 20 la Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) uliofungwa hivi karibuni, China itapanua nyanja za kufunguliwa mlango kwa kuzingatia sheria, kanuni, usimamizi na viwango, huku ikisisitiza kufungua mlango kwenye kiwango cha juu.

Maneno haya ni "ya kusisimua" kwa Leon Wang, naibu mtendaji mkuu wa kimataifa na mkuu wa China wa kampuni ya dawa ya AstraZeneca.

"Hatua za China za kufungua mlango kwa kiwango cha juu zitaongeza msukumo zaidi katika ufufukaji wa uchumi wa Dunia na kuimarisha imani yetu katika kupanua uwepo wetu hapa," Wang amesema.

Maendeleo ya kisasa ya China, Fursa Mpya

China imeapa kuendeleza ustawi wa Taifa la China katika sekta zote "kupitia safari ya China kuelekea Maendeleo ya Kisasa." Kwa makampuni ya kigeni yaliyowekeza China, hii inatoa vidokezo vya fursa mpya za biashara nchini China.

Kutafuta maendeleo ya kiwango cha juu kunasisitizwa katika ripoti ya mkutano mkuu wa CPC na hii imevutia sana makampuni ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na Danone.

"Kujitolea kwa China katika kufungua mlango na maendeleo ya kiwango cha juu yaliyoonyeshwa katika ripoti hiyo kumeimarisha zaidi ahadi yetu ya maendeleo ya muda mrefu nchini China," amesema Chevot. "Danone itasaidia maendeleo ya baadaye ya China kupitia vituo vyake vya utafiti na uzalishaji wa vifaa nchini China."

Kwa mujibu wa Wang, Kampuni ya AstraZeneca sasa ina zaidi ya miradi 150 ya utafiti na maendeleo nchini China. "China siyo tu soko la pili kwa ukubwa duniani la AstraZeneca lakini pia ni kiungo muhimu kwa mtandao wake wa uvumbuzi wa kimataifa na mnyororo wa ugavi wa dawa pia." 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>