Lugha Nyingine
Xi Jinping afanya ukaguzi na utafiti huko Jinzhou, Liaoning
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 18, 2022
Katika mchana wa tarehe 16 mwezi huu, rais Xi Jinping wa China alifika Mji wa Jinzhou, Mkoa wa Liaoning wa China kufanya ukaguzi katika Jumba la Makumbusho la Mapigano ya Ukombozi ya Mikoa ya Liaoning na Shenyang na Bustani ya Misitu ya Donghu, ambapo alikumbukia historia ya Vita vya Ukombozi wa Kaskazini Mashariki mwa China na mchakato wa kupata ushindi wa Mapigano ya Ukombozi ya Mikoa ya Liaoning na Shenyang, kujulishwa kazi ya kuzuia mafuriko ya Mkoa wa Liaoning na hali ya kurudisha mazingira ya asili ya mji huu, na kutoa agizo muhimu kwa kazi ya kuzuia mafuriko na kuimarisha uwezo wa kuzuia maafa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma