Lugha Nyingine
Meli karibu 1000 zaanza kuvua samaki kwa kufurahisha (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 17, 2022
Agosti 16, meli zilizoanza kuvua samaki zikiendeshwa kwenye bahari kutoka bandari kuu ya uvuvi ya Tailu ya Wilaya ya Lianjiang ya Mji wa Fuzhou, Mkoani Fujian. (Picha na droni) |
Saa sita za siku hiyo, maeneo kadhaa ya Mkoa wa Fujian(kusini mwa 26°30'N ya maeneo ya bahari ya Fujian ) yalimaliza kipindi cha miezi mitatu cha kusitishwa kuvua samaki, na wavuvi walianza kwenda bahari kufanya kazi ya uvuvi. Katika eneo la bahari la Wilaya ya Lianjiang ya Mji wa Fuzhou wa Mkoa wa Fujian, meli karibu 1000 za uvuvi zimeelekea Bahari ya Mashariki kutoka bandari kuu za Huangqi na Tailu.
(Mpiga picha: Jiang Kehong/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma