Lugha Nyingine
Mavumo mapema ya mpunga yanayovutia huko Guangxi (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 03, 2022
Picha ikionesha mashamba ya mavuno kwenye Kijiji cha Xinlin cha Wilaya ya Rongan, Mji wa Liuzhou wa Mkoa wa Guangxi tarehe Mosi, Agosti. |
Hivi karibuni, mashamba ya mpunga yenye eneo la karibu zaidi ya hekta 6666 yameingia majira ya mavuno kwenye Wilaya ya Rongan, Mji wa Liuzhou wa Mkoa wa Guangxi, China. Mashamba ya mpunga pamoja na mazingira ya asili yameleta mandhari nzuri kama picha iliyochorwa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma