Lugha Nyingine
Vito vyang’arisha Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (12)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2022
Mapambo ya vito “Macho ya Wakati” yakionekana kwenye eneo la vito la Jumba la Pili la Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China tarehe 26, Julai. Waandalizi wanajulisha kuwa mapambo hayo ya almasi ni yenye thamani ya Yuan milioni 188. |
Maonesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yanafanyika huko Haikou, China. Vito vyenye thamani kubwa kutoka sehemu mbalimbali duniani vinavyong’arisha maonesho vikivutia macho ya watembeleaji. Kampuni nyingi za vito vinaonesha vito vya aina mpya au vito vyao vyenye thamani kubwa vinavyohifadhiwa nazo, ambavyo vimewashangaza watembeleaji. (Picha zilitolewa na waandalizi wa Maonesho ya Kimataifa ya China ya Bidhaa za Matumizi)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma