Lugha Nyingine
Maonesho ya Pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yafunguliwa rasmi kwa umma (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 27, 2022
Siku hiyo, Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China ya Mwaka 2022 yalifunguliwa rasmi kwa umma. Maonesho ya mwaka huu yamegawanywa katika sehemu mbili za maonesho ya kimataifa na ya ndani, na eneo lake la jumla ni mita za mraba 100,000 na zaidi ya chapa 2,800 zinashiriki kwenye maonesho hayo.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma