久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Maonesho ya 2 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yafunguliwa huko Hainan (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 26, 2022
Maonesho ya 2 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yafunguliwa huko Hainan
Mfanyakazi akipamba banda la maonyesho kwenye Maonesho ya 2 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China huko Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Julai 25, 2022. (Xinhua/Chen Jianli)

HAIKOU - Maonesho ya 2 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yameanza Jumatatu wiki hii huko Haikou, Mji Mkuu wa Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China.

Maonyesho hayo ya siku sita yamevutia kampuni za nje 1,107 na chapa 1,643 kutoka nchi na maeneo 61 duniani kote, pamoja na chapa zaidi ya 1,200 za China.

Eneo la maonyesho limepanuliwa hadi kufikia mita za mraba 100,000 kuliko mita za mraba 80,000 za mwaka jana, huku eneo la bidhaa za kimataifa likichukua asilimia 80 ya eneo lote la maonyesho.

Ikiwa ni nchi mgeni wa heshima, Ufaransa inashiriki kwenye maonyesho hayo ikiwa na takriban kampuni 50 na chapa 250.

“Maonyesho hayo yataonyesha zaidi ya bidhaa mpya 600 kutoka zaidi ya chapa 200,” waandaaji wamesema.

Maonyesho hayo yakisimamiwa na Wizara ya Biashara ya China na Serikali ya Mkoa wa Hainan, yanatarajiwa kuvutia wanunuzi na watembeleaji zaidi ya 40,000.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>