Lugha Nyingine
Pilikapilika za kuandaa kwa kuanza kuvua samaki Lian Yungang, Jiangsu (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 26, 2022
Julai 25, 2022, wavuvi wakifanya maandalizi kwa kuanza kuvua samaki katika bandari kuu ya uvuvi ya Qingkou kwenye eneo la Ganyu la mji wa Lian Yungang, mkoa wa Jiangsu. |
Siku mfululizo za hivi karibuni, katika bandari kuu ya uvuvi ya Qingkou kwenye eneo la Ganyu la mji wa Lian Yungang wa mkoa wa Jiangsu, wavuvi wanapima na kukarabati meli za uvuvi, na kuandaa nyavu za uvuvi, na vyombo mbalimbali za kuvua samaki pamoja na mahitaji ya maisha kwenye baharini ili kukaribisha siku ya kuanza kuvua samaki.
Habari zilisema kuwa baada ya miezi mitatu ya kusimamishwa kwa uvuvi, baadhi ya maeneo ya Bahari ya Manjano na Bahari ya Mashariki ya China yatakaribisha siku ya kuanza kuvua samaki ya Agosti Mosi kwa saa za huko. (Picha na Tovuti ya Picha ya Umma)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma