Lugha Nyingine
Mkutano wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa wahamasisha uungwaji mkono kwa maendeleo endelevu ya Afrika (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 22, 2022
Rais wa Baraza la Kiuchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa Collen Vixen Kelapile (wa tatu kulia), akitoa risala kwenye mazungumzo maalum ya ngazi ya juu yenye mada ya "Afrika Tunayoitaka: Kuthibitisha Upya Maendeleo ya Afrika kuwa Kipaumbele cha Mfumo wa Umoja wa Mataifa" kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Julai 20, 2022. (Mark Garten/Picha ya UN/Kutumwa kupitia Xinhua) |
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma