Lugha Nyingine
Maua adimu ya Yungiyungi yachanua Puzhehei mkoani Yunnan (3)
Maua adimu ya Yungiyungi ya aina ya “Dasajin” yakichanua katika majira ya joto. (Picha kutoka Kituo cha Media Jumuishi cha Wilaya ya Qiubei) |
Mwezi Julai, Maua adimu ya Yungiyungi ya aina ya “Dasajin” yamechanua katika eneo la vivutio vya taifa la Puzhehei la ngazi ya AAAAA,ambayo nusu ya petali zao ni rangi nyekundu, na nyingine ni rangi nyeupe.
Maua ya“Dasajin”ni aina moja ya maua adimu ya Yungiyungi pori yanayokua huko Puzhehei. Kutokana na utafiti na uthibitisho wa wataalamu wa Taasisi ya Utafiti wa Maua ya Yungiyungi ya China, aina mbili ya maua ya Yungiyungi yaani “Dasajin” na “Xiaosajin” zinazokua huko Puzhehei ziko hatarini kutoweka katika sehemu nyingine duniani.
Watu wateleza kwenye mawimbi na kufurahia mandhari nzuri ya Wanning, Hainan
Bustani ya Wanyama ya Chongqing yawasaidia wanyama kuepuka joto
Watu wafuruhia hali ya hewa nzuri wakati wa majira ya joto kwenye sehemu ya Mto Wujiang, Chongqing
Bwawa la Sanmenxia la katikati mwa China laanza kufanya kazi ya Kuondoa tope la mchanga
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma