Lugha Nyingine
Makaburi zaidi ya elfu moja ya kutoka Enzi ya Shang hadi Enzi ya Xihan yagunduliwa Yanyuan, Sichuan
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 20, 2022
Watafiti wa mabaki ya kale wakifanya kazi kwenye magofu ya kale ya Laolongtou ya Wilaya ya Yanyuan. (Picha ilipigwa tarehe 19, Juni/Xinhua) |
Hadi katikati mwa mwezi wa Juni, 2022, wafanyakazi wa utafiti wa mabaki ya kale wameshughulikia makaburi zaidi ya 1100 ya kutoka mwisho wa Enzi ya Shang hadi mwanzo wa Enzi ya Xihan, na kufukuliwa kwa mabaki ya aina mbalimbali zaidi ya 5000 kwenye magofu ya kale ya Laolongtou ya Wilaya ya Yanyuan, Mkoa wa Sichuan wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma