Lugha Nyingine
Picha: Kuangalia Ziwa la Ranwu kutoka angani (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2022
Ziwa la Ranwu lililoko ndani ya Wilaya ya Basu ya Mji wa Changdu wa Mkoa wa Tibet liliumbwa kutokana na maporomoko ya udongo na mawe yaliyoziba mito. Eneo la ziwa hilo ni la kilomita 22 za mraba, likiwa ni ziwa kubwa zaidi katika sehemu ya Mashariki mwa Tibet.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma